
Makubaliano hayo yamefanyika leo jijini dar es salam katika ofisi za makao makuu ya jeshi la polisi Tanzania
IGP sirro amesema, mkataba huo wa mashirikiano ya ulinzi utasaidia kutunza na kudumisha aman kutokana na mashirikiano hayo, na kuongelea mapigano ya majambazi ambao walikuwa wakipambana nao kibiti walikimbilia msumbiji na muungano huo utaleta mafanikio na kuwataka wote ambao wapo nchi msumbiji kuwa popote watakapo kimbilia bado hawatakuwa salama.
Aidha kwa upande wake IGP Bernadino Rafael wa msumbiji amesema makubaliano hayo yatawasaidia kuimarisha ulinzi na kubadilishana na kujifunza mbinu mbalimbali ambazo jeshi la polisi la Tanzania wamekua wakizitumia ili kudhibiti uhalifu na pia izi utazidi kuwa imara, na madhaifu madhaifu ya polisi wa Tanzania
Tags
Jeshi la Polisi