Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amesema ujumbe wa Rais Magufuli
kwake alipofanya nae mazungumzo Ikulu, ulikuwa ni kumshawishi arejee CCM
suala ambalo hakukubaliana nalo na alimueleza Rais kwamba uamuzi wake
wa kukihama chama hicho na kujiunga na CHADEMA haukua wakubahatisha.