Serikali imesema kuwa Shirika la Umoja
waMataifalinaloshughulikiaMaendeleoyaViwanda (UNIDO)
limekubalikushirikiananaserikaliya Tanzania
katikaukuzajinauendelezwajiwaviwandanchini.
Hayo ameyasema na Waziri waViwanda, BiasharanaUwekezaji, Mhe. Charles MwijagewakatiakimpokeaMkurugenziMkuuwaShirika la Kimataifa la MaendeleoyaViwanda (UNIDO), LI Yong,
Mwijage amesema kwamba katika muda mfupi aliozungumza na Mkurugenzi huyo amesema kwamba yuko tayari kushirikiana na Tanzania katika ukuajiwa viwanda nchini na kuitangaza nchiyetu kimataifa ili kuvutia wawekezaji.

Mwijage amesema kuwa UNIDO imefanya vizur ikatika nchi mbalimbali hivyo alichokifanya katika nchizingine ndicho atakachokifanya Tanzania katika maendeleo ya viwanda vya kuzalisha bidhaa bora nasio malighafi.
Amesema kuwa ujio wa bosiwa UNIDO ni sehemu ya kutangaza bidhaa kuweza kupatama soko nje ya nchi nasio wakati wasasa kupeleka malighafi.
Mwijage amesema katika kipaumbele kilichopo nikuweka viwanda vya kutengene za mafuta ya kula pamoja na viwanda vya nguo ambapo malighafi zote zinapatikana nchini.
Nae Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO, LI Yong amesema kuwa katikaziara hiyo kuna vitu vingi atajifunza kwa nchi ya Tanzania kwahatua iliyofikiwa katika uendelezwaji Viwanda.

katika ziara hiyo atafany amazungumzo naViongozi wakuu wa Serikali kwa Tanzania bara na Zanzibar pia kufanya mazungumzo na Sekta binafsi nchini ikiwa ni sehemu ya kusukuma maendeleo ya viwanda kwakasi

Tags
WAZIRI MWIJAGE