Baadhi ya Madereva wanaokwenda
Nchini Qatar kufanya kazi ya Udereva kupitia Programu ya Mafunzo ya
Kujiajiri na kuondoa Umaskini(Skill development and trade market)
iliozinduliwa na Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto
Maudline Cyrus Custico katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani
Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Ajira Ali Suleiman
Ameir akitoa maelezo kuhusiana na Ajira katika Uzinduzi wa Programu ya
Mafunzo ya Kujiajiri na kuondoa Umaskini(Skill development and trade
market) katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni
Mjini Zanzibar.Zaidi ya Madereva 70 wamekabidhiwa Tiket za kwenda
nchini Qatar kufanya kazi ya Udereva.
Katibu Mkuu Wizara ya Kazi
Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Fatma Gharib Bilal akitoa hotuba ya
kumkaribisha mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Programu ya Mafunzo ya
Kujiajiri na kuondoa Umaskini(Skill development and trade
market) katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni
Mjini Zanzibar.Zaidi ya Madereva 70 wamekabiodhiwa Tiket za kwenda
nchini Qatar kufanya kazi ya Udereva.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee
Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Custico akitoa hotuba ya Uzinduzi wa
Programu ya Mafunzo ya Kujiajiri na kuondoa Umaskini(Skill development
and trade market) katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani
Kikwajuni Mjini Zanzibar.Zaidi ya Madereva 70 wamekabidhiwa Tiket za
kwenda nchini Qatar kufanya kazi ya Udereva.kulia ni Naibu Waziri wa
Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Shadia Mohammed na kushoto ni
Mkurugenzi Ajira Ali Suleiman Ameir.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee
Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Custico akimkabidhi Tiket ya Kwenda
Nchini Qatar Dereva Seif Kurwa Sanga katika Uzinduzi wa Programu ya
Mafunzo ya Kujiajiri na kuondoa Umaskini(Skill development and trade
market) katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni
Mjini Zanzibar. Zaidi ya Madereva 70 wamekabidhiwa Tiket za kwenda
nchini Qatar kufanya kazi ya Udereva.
Muakilishi kutoka Taasisi ya
Usafirishaji ya Hamoup Company Ltd Haji Amour Haji akitoa neno la
shukrani katika Uzinduzi wa Programu ya Mafunzo ya Kujiajiri na
kuondoa Umaskini(Skill development and trade market) katika Ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar. Zaidi ya
Madereva 70 wamekabidhiwa Tiket za kwenda nchini Qatar kufanya kazi ya
Udereva.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee
Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Custico katikati akiwa katika picha ya
pamoja na Viongozi na Madereva waliopatiwa Tiket za kwenda Nchini Qatar
katika Uzinduzi wa Programu ya Mafunzo ya Kujiajiri na kuondoa
Umaskini(Skill development and trade market) katika Ukumbi wa Baraza la
Wwakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Tags
KUJIAJIRI