BANDA MEDIA BLOG

No title


KAMPUNI YA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA UJENZI YA AFRIZANIA YASHIRIKI MAONYESHO JIJINI DODOMA


Wafanyakazi wa kamapuni ya ABM wakitoa maelezo kwa wateja ambao ni washiriki wa semina ya Makandarasi  kuhusu mashine mbalimbali na matumizi yake, mafunzo hayo yanafanyika kwa siku 2 kuanzia leo Jijini Dodoma 


Afsa biashara Ally Rashidi kushoto na akitoa maelezo kwa mteja kuhusu mashine ya kushindilia zege wakati wa uchongaji wa barabara, wakati wa maonyesho hayo (PICHA NA JOHN BANDA)

Wateja mbalimbali wakipata maelezo ya mashine mbalimbali za ujenzi zinazotumiwa na makandarasi wa majengo na barabara toka kwa wafanyakazi wa kamapuni ya ABM


 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG