BANDA MEDIA BLOG

No title

TAASISI YA UTAFITI  WA KILIMO TANZANIA  (TARI) IMEBUNI NA KUTENGEZA ZANA YA KUPANDIA MBEGU ZA PAMBA, ALIZETI NA MAHINDI AMBAYO ITAWASAIDIA WAKULIMA KWA KIASI KIKUBWA KATIKA KILIMO

Mtafiti wa kituo cha utafiti wa kilimo cha UKIRIGURU - Mwanza Dauson Maula akionyesha sehemu ya kuweka mbegu katika kifaa hicho ambacho kitapanda mistari 4 kwa wakati mmoja  

Mtafiti wa kituo cha utafiti wa kilimo cha UKIRIGURU - Mwanza Dauson Maula akifafanua jambo wakati alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dodoma katika mfululizo wa maonyesho ya wiki ya wabunifu MAKISATU, ambapo kifaa hicho kitapanda mistari 4 kwa wakati mmoja  
Banda la maonyesho ya utafiti wa kilimo katika uwana wa jamhuri jijini Dodoma 


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG