BANDA MEDIA BLOG

No title

 

SHANGWE, NDEREMO VYATAWALA MAPOKEZI YA SEKRETARIETI MPYA YA CCM TAIFA



Chongolo akivishwa skafu na vijana wa Green Guard wakati wakati wa sherehe za mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti mpya ya CCM Taifa katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma Januari 24, 2023.


Baadhi ya wajumbe wa Sekretarieti mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM TAIFA)  wakiongozwa na Katibu Mkuu Daniel Chongolo (waliokaa katikati) wakati wa sherehe za mapokeZi katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma Januari 24, 2023.



Chongolo akipatiwa shada la maua.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbarouk Nassoro Mbarouk akipatiwa shada la maua.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Sophia Edward Mjema akipatiwa shada la maua.
Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Issa Haji Usi Gavu akipokea zawadi ya shada la maua.
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara, Annamringi Macha akipokea zawadi ya shada la maua.

Naibu Katibu Mkuu CCM, Zanzibar, Mohemed Said Dimwa akipokea zawadi ya shada la maua.


Wajumbe wa Sekretarieti

Chongolo akikagua gwaride la Green Guard.
Chongolo akisalimiana na baadhi ya viongozi.
Wanataasisiwa umoja wa amani kwanza wameshiriki katikamapokezi hayo yaliyofana






Baadhi ya wakuu wa wilaya, viongozi wa dini na makada wa ccm.
Baadhi ya wa wajumbe wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma.
Makada wa chama
Baadhi ya wazee wa kimila

Makatibu wa Jumuiya za CCM. Kutoka kushoto ni Kenani Kihongosi (UVCCM),  Gilbert Kalima (WAZAZI) na Philis Nyimbi (UWT).


 Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo akihutubia wakati wa mapokezi hayo.


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG