BANDA MEDIA BLOG

No title

 

RAIS DKT.MWINYI APOKEA RAMANI YA MJI WA KISASA FUMBASAMBAMBA NA UKUMBI WA MIKUTANO YA KIMATAIFA



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea  mfano wa ramani ya mji mpya wa biashara, Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi. kutoka kwa Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Said Shaaban ,Ikulu Jijini Zanzibar.

Picha ya Mchoro wa mfano wa ramani ya mji mpya wa biashara, Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG