BANDA MEDIA BLOG

MWENYEKITI WA CCM DK. SAMIA SULUHU HASSAN LEO NA KESHO ATAKUWA UNGUJA KWA ZIARA YA KICHAMA

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya Kichama katika kukagua miradi mbalimbali ya kichama ya maendeleo na kuzungumza na Viongozi, Wanachama na Watanzania kwa ujumla.

Ziara hii ni katika Mikoa 4 ambayo ni Kaskazini Unguja, Kusini Unguja, Mjini na Mkoa wa Magharibi.


🗓️ 17 - 18 Januari, 2024



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG