BANDA MEDIA BLOG

HAPPY BRITHDAY JOHN BANDA

............................................................ Aprili 14, miaka kadhaa iliyopita Mama Yangu Mdala Grace au Mbeleje kama alivyopenda kuitwa na mama yake Helina au Ndondi ambaye mimi ni Bibi yangu (wote ni Marehemu), alinizaa... Huwa naitumia kumbkumbu ya Siku hii kumshukuru Mungu aliyeruhusu Mimba kutingishwa na Mzee Banda na katimaye mimi Kuzaliwa, na kama haitoshi naendelea kukata miaka kwa uwezo wake wakati wengi wa tuliozaliwa nao na wengine baada ya siku na mwaka huo wameeondoka wakiniacha hai..... Leo najivunia Mengi na vingi ambavyo Mungu amenifanikisha, Uhai , Familia na hata kazi ya kujiiingizia Kipato ambayo amenipa hakika SALUTI KWAKE Mungu Muweza ambaye ndiyo Mfadhili wangu Mkuu...!!!!!!! Pongezi kwa Mdogo na Dada Yangu Helena Banda, ambae pia alizaliwa Mwezi na Tarehe kama ya kwangu miaka michache iliyofuata, hongera Dada nakupenda na ninakutakia mafanikio katika hatua zote za maisha yako....!!!!!!!

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG