BANDA MEDIA BLOG

HIZI NDIZO KURA ZA KIMBUNGA ZILIZOMPA MWABUKUSI URAIS WA TLS MPAKA MWAKA 2027

 


 Boniface Mwabukusi, ametangazwa rasmi na Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mawakili (TLS)  kuwa ndiye mshindi wa U-Rais wa Chama Chama cha Wanasheria Tanzania TLS na kuwabwaga wapinzani wake akipokea kijiti kutoka kwa Harold Sungusia.

Mwabukusi ameibuka Mshindi kwa kupata kura 1,274 mbele ya Mgombea Sweetbert Nuba aliyepata kura 807 katika uchaguzi uliofanyika leo August 02,2024 Jijini Dodoma, jumla ya Wapiga kura wote walikuwa 2,218 ambapo kura tatu zimeharibika.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG