BANDA MEDIA BLOG

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA MAKATIBU WAKU


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu leo tarehe 13 Agosti, 2024 ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu Mapitio ya Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili ( MTAKUWWA II 2024/25 - 2028/29)kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma.








 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG