BANDA MEDIA BLOG

DKT. TULIA ATOA SOMO LA KUJILINDA NA KIPINDUPINDU MKOANI MBEYA

 


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Mbeya Mjini, leo tarehe 7 Januari, 2025 Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana kwa njia ya miguu na baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Jiji la Mbeya ikiwa ni ishara ya kutoa elimu kwa jamii kuhusu mapambano dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG