Ni yepi yaliyotokea mwaka 1969, katika hesabu za sekunde,Dakika, Saa, siku na hata Miezi yake ambayo unadhani yanaweza kufanana na yatakayotokea mwaka huu wa 2025 ambao unatumia karenda Sawa na ya mwaka huo?
KUMBE KWELI HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA MWAKA 2025 TUNATUMIA KALENDA YA MWAKA 1969 VIPI UNADHANI MFANANO MWINGINE UTAKUWA UPI?
byJohn Banda
-
0
