BANDA MEDIA BLOG

Tundu Lissu amechukua usukani wa chama Kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema- Mbowe akubali

 



Tundu amemng'oa madarakani Freeman Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miongo miwili.

Mbowe amekuwa wa kwanza, kukiri kushindwa na kumpongeza Lissu kupitia mtandao wa X.

Lissu naye ametumia mtandao wa X kutangaza ushindi wake.

Matokeo rasmi ya uchaguzi huo uliofanyika jana usiku bado hayajatangazwa.

Hii ni taarifa ya hivi punde, tutaendelea kukujuza kadri tunavyopokea taarifa.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG