BANDA MEDIA BLOG

KOCHA ALIYEMATAKA AZIZ KI AFUTWA KAZI WYDAD

 

Kuna uwezekano mkubwa dili la Aziz ki kwenda Wydad likaota mbawa akaendelea kusalia nchini baada ya Makwena kuachana na Wydad, ipo hivi:-

Kocha Moukwena ndie alikua anamtaka sana Aziz ki
🚨 RASMI
➡️Wydad Casablanca🇲🇦 wamemfuta kazi Rhulani Mokwena🇿🇦 kufuatia mfululizo wa matokeo mabaya.
Ameondoka klabuni baada ya siku 66 bila kupata ushindi hata mmoja.
Mambo ni mengi muda mchache

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG