BANDA MEDIA BLOG

SHERIA ZA SOKA NI ZILEZLE 17 KILICHOBADILIKA NA KANUNI TU

 

𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: UEFA wako kwenye mazungumzo ya kubadilisha kanuni za UEFA Champions League

➡️ Hakuna muda wa ziada utakaoongezwa katika hatua ya mtoano, Dakika 90 zikiisha ni Penalty.
➡️ Timu zitakazomaliza katika nafasi ya nane bora kwenye msimamo zitaanzia kucheza nyumbani katika robo na nusu fainali ya Champions League.
➡️Timu zinazotoka Taifa moja hazitaweza kucheza mpaka hatua ya Robo Fainali ndio zinaeeza kutana
Source BILD

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG