BANDA MEDIA BLOG

MAANDALIZI YA KUUAGA MWILI WA HAYATI WAZIRI MKUU WA ZAMANI CLEOPA MSUYA YAENDELEA HUKO MWANGA MKOANI KILIMANJARO

 

Maandalizi ya kuaga mwili wa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Cleopa David Msuya, yakiendelea katika Uwanja wa Cleopa David Msuya, wilayani Mwanga, Mkoa Kilimanjaro, leo Mei 11, 2025.



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG