BANDA MEDIA BLOG

SPORT PESA YAQAPONGEZA VIONGOZI WA YANGA

 

"Sportpesa tunachukua nafasi hii adhimu kuwapongeza sana Viongozi wa Young Africans SC kwa namna ambavyo wameibadilisha hii Klabu. Young Africans SC imepata mafanikio kwenye msimu ambao ulikuwa mgumu sana. Kubeba mataji matano sio jambo dogo kabisa katika historia ya nchi hii. Huu ndio mwaka bora kabisa katika historia ya Klabu hii" Mwenyekiti wa BODI Sportpesa Tanzania Abbas Tarimba

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG