BANDA MEDIA BLOG

DKT. MAJULE AWAFUNDA WANAWAKE JINSI YA KUSAKA KURA


 "Kura za uhakika ni za wanawake tena zimenyooka", 

Ni kauli ya Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Dodoma Dkt. Neema Majule  alipokuwa akiwahimiza wanawake kupitia baadhi ya mikutano ya ndani.

Amewataka wanawake wakatafute kura mtu kwa mtu nyumba kwa nyumba meza kwa meza sokoni duka kwa duka.  Pamoja na kwenye makundi ya wajasiliamali wafanyabiashara. Wanawake waende mashuleni vyuoni. Asiwepo mwanamke wa kulala. 

Ninawaamini wanawake wa Dodoma chapeni kazi tupate dola tutawale tena

Mama Samia oyeeeee

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG