Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini Uganda leo tarehe 20 Desemba 2025. akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Maziwa Makuu, utakaofanyika tarehe 21 Desemba 2025.
MAKAMU WA RAIS, BALOZI DR. EMMANUEL NCHIMBI ATUA UGANDA TAYARI KWA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU
byJohn Banda
-
0


