BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI MKUU DR. MWIGULU NCHEMBA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KAMPASI YA UDSM MKOANI LINDI


 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Kikwete wakiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mkoa wa Lindi, Desemba 20, 2025. Wengine kutoka kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo cha Kikuu cha Dar es Salaam Profesa William Anangisye, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mwanaidi Maajar, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Hajat Zainab Tekack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG