🇸🇳 Sadio Mané amefunguka kuhusu sababu ya kutomkumbatia mwanamke mmoja AFCON 2025, baada ya baadhi ya mashabiki mtandaoni kumtuhumu kuwa alimdhalilisha.
Mané alieleza kuwa suala hilo lilihusiana na misingi ya imani yake ya dini:
🗣️ “Mimi ni Muislamu, na binafsi sina tatizo la kukumbatiana na wanawake. Hata hivyo, shabiki husika hakuwa amevaa kwa staha inayokubalika, na kwa sababu hiyo sikuweza kumkumbatia. Naomba radhi endapo kitendo changu kilimkera, na naomba anisamehe. Ninaamini upendo unapaswa kuongoza kila wakati.” #senegal #mane #TotalEnergiesAFCON2025
#mpekeo_mtandala
