BANDA MEDIA BLOG

ASKOFU HAULE ATAKA IBADA NA MATENDO YA HURUMA WAKATI WA MFUNGO


 Ruvuma

Askofu Raphael Haule wa Dayosisi ya Ruvuma, Kanisa Anglikana Tanzania, Jumapili 22 Februari 2026, ameongoza adhimisho la Ibada ya Misa Takatifu S.B 1 wakati wa Kwaresima.

Misa hiyo Takatifu yenye wazo Kuu: Kufunga, imefanyika katika Kanisa la Mtakatifu Augustino Mjimwema Songea, na kutoa wito kwa wakristo, katika kipindi cha mfungo wa Kwaresima, kufanya Ibada na matendo ya huruma ili kumrudia Mungu.





Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG