TUZO ZA MAN OF THE MATCH zinakusanywa tu na vijana wa Young Africans ambapo katika mechi 10, wachezaji hao wamebeba tuzo 9. Dube na Maxi wanaongoza kwa kubeba tuzo hiyo, wakichukua mara mbili kila mmoja
Tags
MICHEZO