HADI Oktoba mwaka 1964 ambapo mwimbaji na mwanaharakati wa Afrika Kusini
Mwaka 1962, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha azimio lililolaani sera za kibaguzi za apartheid nchini Afrika Kusini na kutoa wito kwa nchi wanachama kusitisha ushirikiano wa kiuchumi na kijeshi na utawala huo.
Katika #BlackHistoryMonth, tunakumbuka kuwa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi si historia tu, ni jukumu la sasa.
Jiunge na kampeni ya Umoja wa Mataifa ya #FightRacism kupinga ubaguzi wa rangi.
Tags
UN
