Watumishi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano wakiwa katika Maandamano wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa Mkoa wa Dodoma yaliyoadhimishwa katika viwanja vy shule ya Msingi Mbande Wilayani Kongwa leo 08 Machi 2026.
Mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule
Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu 2026 inasema” Haki na Usawa kwa Wanawake na Wasichana: Msingi Jumuishi kufikia Dira 2050″.
Baadhi ya Wakurugenzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano wamehudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoadhimishwa kimkoa katika Shule ya Msingi Mbande Wilayani Kongwa Jijini Dodoma leo Machi 8, 2026.
Tags
WANAWAKE
