Meya Mstaafu wa Jiji la Dodoma ambaye kwa sasa ni Diwani wa Kata ya Madukani, Prof. Davis Mwamfupe (kulia) akiteta jambo na Afisa Mtendaji Kata ya Msalato, Devotha Selufara baada ya Mkutano wa Baraza la Madiwani wa kupitia taarifa za utekelezaji kutoka kwenye Kata uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Jiji hilo uliopo mji wa serikali mtumba Aprili 29,2026