"Wezi wamevamia kwangu na kuiba mkoba uliokuwa na pesa na vitambulisho vyangu vyote mpaka na passport yangu ya kusafiria, tafadhali kwa yeyote atakae ona vitambulisho venye jina langu tafadhali naomba anisaidie kuvipeleka kituo chochote cha police kilichokaribu nae Ahsante sana", Ameandika Rose Mhando kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Tags
DINI NA MADHEHEBU
