Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kabla ya kuondoka nchini, kuelekea Lusaka Zambia kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema kufuatia ushindi alioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Zambia Uliofanyika tarehe 13 Agosti, 2026 ambapo Rais Hichilema alichaguliwa kwa Muhula mwengine wa Miaka mitano. Tarehe 01 Sept, 2026.
RAIS SAMIA AHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MTEULE WA ZAMBIA
byJohn Banda
-
0



