![]() |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Muhagama muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati kuu mjini Dodoma. |
![]() |
| Add caption |
Katibu
wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro akizungumza
na Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mhe. Zakhia Meghji muda mfupi kabla ya
kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambayo ilikuwa na ajenda
ya kujadili majina ya wana CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea
Spika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tags
SIASA




