Mchezaji nyota Zlatan Ibrahimovic
pamoja na Emil Forsberg wamefanikisha nchi ya Sweden kupata ushindi
mdogo wa mabao 2-1 dhidi ya Denmark katika mchezo wa kuwania kufuzo
michuano ya Euro 2016.
Katika mchezo huo Emil Forsberg
alikuwa wa kwanza kupachika bao kupitia baada ya kuunganisha krosi
tamu, na kisha Zlatan Ibrahimovic akipachika bao lake kwa mkwaju wa
penati baada ya Forsberg kuchezewa rafu.
Zlatan Ibrahimovic akipachika bao kwa mkwaju wa penati
Tags
MICHEZO KIMATAIFA

