Serikali ya Kenya imethibitisha kukamilika kwa maandalizi ya kumpokea kiongozi wa kanisa katoliki papa Francis.Hii ni ziara ya kwanza ya Papa Francis barani Afrika, ambapo mbali na Kenya, pia ataitembelea Uganda na Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Tags
KIMATAIFA