BANDA MEDIA BLOG

KUELEKEA XMAS WENGINE WALALAMA UKUOSEFU WA FEDHA NA WATEJA WANGINE WACHEKELEA MJINI DODOMA

Wauza matunda katika soko kuu la majengo Dodoma wakipanga matunda yao wakati wa kisubili wateja siku moja kabla ya Xmas
 

Wauzaji wa kuku, kanga na bata katika soko hilo wakiwa kwenye maandalizi ya Xmas
Wauza ulrembo nao hawakuwa nyuma
Wanawake wa lika mbalimbali wakisukwa na wamasai waliyopo nyuma ya kituo cha Daladala cha Jamatini Dodoma wakati wa maandalizi ya sikukuu za Chrismas na Mwaka mpya wa 2016
 
Pilika Pilika katika mtaa wa One Way siku moja kabla ya Xmas
Mambo ya kupendeza kwa ajili ya Xmas yakiendelea katika saloon mbalimbali mjini Dodoma
Wadada Rose na Grecy wakionyesha Jinsi walivyopendeza baada ya kutengeneza Nywele zao FABRA saloon iliyopo Jamatini Dodoma











Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG