Mchezaji wa Timu ya JKU Rose Israel (WA) na Uhamiaji Sofia
Komba (C) wakiwania mpira wakasti wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano
iliofanyika katika uwanja wa Gmykhana Zanzibar Timu ya Uhamiaji
imeshinda kwa mabao 38–25.
Mchezaji wa Timu ya JKU Dawa Haji (GA) akijiandaa kudaka
mpira huku mlizi wa Timu ya Uhaniaji Kachilika Joana (GD) akijiandaa
kumzuiya katika mchezo huo.Timu ya Uhamiaji imeshinda 38–25
Mchezaji wa Timu ya Uhamiaji Mary Banya (GS) akijiandaa
kufunga wakati wa mchezo wao na Timu ya JKU uliofanyika uwanja wa
Gmykhana Zanzibar.
Mchezaji wa Timu ya Uhamiaji Restuta Boniface (WD) akiwa
hewani akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Kombe la
Muungano uliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar
Mchezaji wa Timu ya Uhamiaji Skozi Jackline (WA) akiwa
hewani akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Kombe la
Muungano uliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar
Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji na JKU wakiwa katika goli
la JKU weakiushindikiza mpira golini kuandika bao kwa timu ya Uhamiaji.
Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji wakishangilia Ushindi wao
dhidi ya Timu ya JKU ukiwa ni mchezo wa mwishi kukamilisha Ligi Kuu ya
Muungani iliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar kwa kupata ushindi wa
mabao 38–25.

Kocha Mkuu wa Timu ya Uhamiaji akizungumza na Waandishi wa
habari baada ya kumalizika mchezo wao na Timu ya JKU ya Zanzibar ya
kukamilisha Ligi Kuu ya Muungano Mchezo wa Netiboli uliofanyika Uwanja
wa Gmykhana Timu ya Uhamiaji imeshida kwa 38–25
Mrajisi
wa Vyama vya Michezo Zanzibar akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano
ya Muungano Kepteni wa Timu ya Uhamiaji Sofia Komba Baada ya Timu yao
kulinyakuwa Kombe hilo Mwaka huu katika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar kwa
kuifunga Timu ya JKU ya Zanzibar kwa mabao 38—25
Imetayarishwa na Othmanmapara.Blogspot.
Zanzinews.com,
Tags
MICHEZO KITAIFA