BANDA MEDIA BLOG

ORODHA KAMILI YA RAPA WANAOONGOZA KWA MANENO MACHAFU KWENYE NYIMBO ZAO, HUKU LIL WAYNE AKIONGOZA

Lil-Wayne-Slapped-With-Another-Court-Judgment
Rapa Lil Wayne ametajwa kuongoza orodha ya wasanii wanaotumia maneno machafu zaidi kwenye nyimbo zao “foul-mouthed artist”.
Digital music streaming service Deezer imemtaja rapa Lil  Wayne baada ya kuangali na kusikiliza nyimbo milioni 35 walizonazo kwenye system yao. Lil Wayne ana nyimbo mbili kwenye nyimbo 10 zenye matusi zaidi duniani.
Wimbo wake wa ‘Beat the S**t’ unamatusi 188 akifuatiwa na rapa Snoop Dogg.
Hii ndio orodha ya Deezer ya wasanii kumi wenye nyimbo zenye maneno machafu zaidi.

  1. Lil Wayne
  2. Snoop Dogg
  3. Jay Z
  4. 2Pac
  5. DMX
  6. Eminem
  7. Rick Ross
  8. Busta Rhymes
  9. 50 Cent
  10. Ice Cube

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG