Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole
Gabriel (katikati) akizungumza na viongozi wa mashirikisho ya sanaa
wakati wa kikao cha kuchanganua changamoto zilizopo katika tasnia ya
sanaa jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Sanaa
Bibi. Leah Kihimbi na kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi.
Joyce Fisoo
Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonyesho Bibi. Agnes Lukanga (wapili kulia) akichangia mada wakati wa kikao kilichoandaliwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuchanganua changamoto zilizopo katika tasnia ya sanaa jana Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Shirikisho la Filamu Bw. Simon Mwakifamba (wapili kushoto) akifafanua jambo wakati wa kikao kilichoandaliwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuchanganua changamoto zilizopo katika tasnia ya sanaa jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni msemaji wa Shirikisho la Filamu Bw. John Kallage.
Baadhi ya viongozi wa mashirikisho ya sanaa wakifuatilia kwa makini mada zilizokua zikiendelea wakati wa kikao kilichoandaliwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuchanganua changamoto zilizopo katika tasnia ya sanaa jana Jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole
Gabriel (watatu kulia waliokaa) katika picha ya pamoja na viongozi wa
mashirikisho ya sanaa baada ya kumaliza kikao cha kuchanganua changamoto
zilizopo katika tasnia ya sanaa jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi Msaidizi Sanaa Bibi. Leah Kihimbi, wapili kushoto ni Katibu
Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo na watatu kushoto ni Rais wa
Shirikisho la Filamu Bw. Simon Mwakifamba
Picha na: Genofeva Matemu – Maelezo

Tags
MICHEZO