Mkuu
wa Idara ya Mionzi, Dk Flora Lwakatare akitoa maelezo kwa Mheshimiwa
Waziri kuhusu maendeleo ya utengenezaji wa mashine ya MRI leo asubuhi.
Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu (katikati) akiwa na Profesa Mseru kuelekea kwenye chumba cha X-ray cha digitali.
Waziri
wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Ummy Mwalimu akiwa
na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Profesa Lawrence Mseru leo asubuhi
katika hospitali hiyo.
Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu (katikati) akiwa na Profesa Mseru kuelekea kwenye chumba cha X-ray cha digitali.
![]() |
| Mkuu
wa Idara ya Mionzi, Dk Flora Lwakatare (wa kwanza kulia) akimpatia
maelezo mheshimiwa Waziri, Ummy Mwalimu (katikati) kuhusu utengenezaji
wa mashine hiyo leo asubuhi. |
![]() |
| Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu akizungumza leo asubuhi na wagonjwa wanaosubiri vipimo katika hospitali hiyo. |
![]() |
| Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu akiwa katika chumba cha CT-SCAN, huku Mkuu wa Idara ya Mionzi, Dk Flora Lwakatare akimpatia maelezo jinsi mashine hiyo inavyofanya kazi wakati ikiwa nzima. |
![]() |
| Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu akifafanua jambo baada ya kupewa maelezo jinsi mashine hiyo inavyofanya kazi. |
![]() |
| Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Lawrence Mseru (kulia), Mheshimiwa Waziri, Ummy Mwalimu (katikati) wakimsikiliza mgonjwa aliyefika katika hospitali hiyo kwa ajili ya kupatiwa matibabu leo asubuhi. |
Tags
HABARI KITAIFA









