Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Tumbatu pamoja na Viongozi mbali
mbali wakati alipofika Bandari ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa
katika ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Kisiwa hicho
leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akipata maelezo wakati alipokuwa akiangalia ramani ya Ujenzi wa
Bandari ya Tumnbatu kutoka waMhandisi Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk
Hamadi Mbarouk wa Shirika la Bandari Zanzibar wakati alipofanya ziara
maalum ya kutembelea maendeleo ya miradi ya maendeleo katika kisiwa cha
Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Wananchi wa Tumbatu Jimbo la Tumbatu waliofika katika
mapokezi wakati alipofika Bandari ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja
akiwa katika ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Kisiwa
hicho leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua mfereji wa maji kuangalia upatikanaji wa Maji Safi na Salama
alipofanya ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Wilaya
Ndogo ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Wananchi
na Wanachama wa CCM Jimbo la Tumbatu wakimsikilizaRais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa
akiwasalimia mara alipofika kijiji cha Tumbatu Kichangani kuangalia
maendeleo ya miradi ya Maendeleo katika kijiji hicho leo ikiwemo ujenzi
wa Bandari na Maji Safi na Salama iliyofanikisha kwa nguvu za Serikali
ya Mapinduzi na Wananchi,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa shukurani zake kwa Wananchi wa Tumbatu Jimbo la Tumbatu
waliofika katika mapokezi wakati alipofika Kijiji cha Tumbatu Kichangani
Wilaya Ndigo Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara maalum
ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Kisiwa hicho leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein(katikati) akifuatana na Wananchi pia Wanafunzi wa madrasa
wakisoma Qaswida wakati walipomshindikiza akiwa katika ziara ya
kuangalia maendeleo ya Miradi ya maendeleo ya Kijiji cha Kichangani
Wilaya Ndogo Tumbatu leo ikiwemo Ujenzi wa Bandari na Maji Safi na
Salama,[Picha na Ikulu]
Tags
HABARI KITAIFA