Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimuhoji Afisa Ardhi wa Wilaya
ya Kibaha Majaliwa Jafari kuhusu Hati miliki ambazo zina muda mrefu
ofisini kwake bila kupewa wamiliki wa hati hizo. Afisa huyo alijitetea
kuwa ana miezi minne tangu aingie katika ofisi hiyo.
Picha na Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Ardhi
Tags
HABARI KITAIFA