BANDA MEDIA BLOG

ARSENAL YAMTAMBULISHA MCHEZAJI WAO MPYA MOHAMED ELNENY

Timu ya Arsenal imemtambulisha mchezaji raia wa Misri Mohamed Elneny baada ya kukamilisha uhamisho wake kutokea klabu ya Basle.

Kocha Arsene Wenger amekamilisha uhamisho wa mchezaji huyo msimu wa uhamisho wa Januari baada ya kutoa dau la paundi milioni 5.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG