BANDA MEDIA BLOG

NCHI YA LIBERIA KUTATANGAZWA KUTOKUWA TENA NA MAAMBUKIZI YA EBOLA

Nchi ya Liberia itatangazwa kutokuwa tena na maambukizi ya Ebola na Shirika la Afya Duniani (WHO), na kumalizika kwa mlipuko mbaya zaidi kuwahi kutokea wa ugonjwa huo duniani.

Hatua ya kumalizika kwa matukio ya ugonjwa wa Ebola Liberia itatangazwa baada ya siku 42 bila ya kuwepo kwa tukio la mgonjwa wa Ebola.

Liberia itaungana na mataifa ya Guinea na Sierra Leone, ambazo zilitangazwa kutokuwa tena na maambukizi ya Ebola mwaka jana. Ebola iliuwa watu 11,000 tangu Desemba 2013.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG