BANDA MEDIA BLOG

CHEKI ALICHOANDIKA KAMUSOKO KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK

Kiungo wa Yanga Thabani Kamusoko
Kiungo wa Yanga Thabani Kamusoko
Mchazaji wa Yanga Thabani Kamusoko ameendelea kushine kwenye mitandao ya kijamii hasa ule wa facebook kwa kutupia picha na kutoa ujumbe mara kadhaa kwa washabiki, rafiki ndugu na jamaa.
Kamusoko amekua active sana kwenye mtandao wa facebook kwani mara kwa mara amekuwa akitoa jumbe za maana na zenye lengo la kujenga na hata wakati mwingine kuburudisha pia.
Leo Jumamosi January 30 kwenye ukurasa wa facebook wa Kamusoko unasomeka ujumbe uliondikwa hivi:
“life is all about ups and downs and the most important thing is how you react when you are down..‪#‎GOODMORNINGEVRYONE‬“.
Leo klabu ya Yanga itakuwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga kukabiliana na Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara na kiungo huyo anategemewa kwa kiasi kikubwa na klabu yake katika kupata matokeo mazuri hivyo kwa asilimia nyingi Kamusoko atakuwepo kwenye kikosi cha kwanza kitakachocheza dhidi ya Coastal Union.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG