Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali
Mohamed Shein akipokea Matembezita Umoja wa Vijana wa CCM katika
kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika viwanja vya
maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi ya
Vijana hao waliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama katika
kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika
viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali
Mohamed Shein akipokea Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee
Abeid Amani Karume kutoka kwa Kiongozi wa Matembezita Umoja wa Vijana
wa CCM Daudi Ismail katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar
leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja (kushoto)
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma khamis ,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikimkabidhi Picha ya Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma khamis baada ya kupokea
picha hiyo kutoka kwa Kiongozi wa Matembezita Umoja wa Vijana wa CCM
Daudi Ismail katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo
katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Kaimu
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akimkaribisha Mwenyekiti
wa Umoja wa Vijana Taifa kuzungumza na Vijana walioshiriki matembezi ya
kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika
Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,baadae kumakaribisha mgeni
rasmi Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Vijana
wa Umoja wa Chama cha Mapinduzi CCM walioshiriki matembezi ya
kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofikia kilele katika
Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja le wa kila kiapo cha kuyaenzi
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mbele ya mgeni rasmi Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,baada ya kuyapokea matembezi hayo
yaliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama,[Picha na Ikulu.]
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis akimkaribishaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Vijana walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,[ Picha na Ikulu.]
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja na kupolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[ Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja(kulia) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan,na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis(kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka,{picha na Ikulu.}
Tags
SIASA