BANDA MEDIA BLOG

MKUFUNZI WA YOGA BILIONEA APIGWA FAINI YA DOLA MILIONI 6 KWA UDHALILISHAJI

Mwanzilishi mkongwe wa mazoezi ya yoga ya joto nchini Marekania ameagizwa kulipa zaidi ya dola milioni 6 kwa wakili mwanamke ambaye alimdhalilisha kingono na kumfukuza kazi kuchunguza tuhuma hizo.

Mwanzilishi huyo milionea Mmarekani Bw. Bikram Choudhury, 69, ni maarufu kwa mbinu za yoga na alianza kufanya mazoezi ya yoga tangu mwaka 2002.

Fidia hiyo ya dola milioni 6 ni nyongeza ya dola milioni moja iliyotolewa kwa mwanamke huyo Minakshi Jafa-Bodden ambaye alikuwa ni mwanasheria na afisa uhusiano wa kimataifa wa Bw. Choudhury Jijini Los Angeles mwaka 2011 hadi 2013.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG