BANDA MEDIA BLOG

MPUNGUZI MKOANI DODOMA BADO HAKUKALIKI ZAIDI WANALALA PASIPOJULIKANA KWA LEO HUKU KUKIWA HAKUNA UFUMBUZI WOWOTE, POLISI WALAZIMIKA KUONDOA MAGOGO ILI KUFUNGUA BARABARA

Askari wa kikosi cha kuzuia Ghasia wakiondoa mawe na magogo yaliyowekwa barabarani na wakazi wa mpunguzi manispaa ya Dodoma kwa lengo la kutaka kufikisha ujumbe kwa serikali kuhusu kero ya mafuriko



Wakati mvua zinazidi kunyesha kwa kasi hapa nchini, ndivyo maisha wa watu yanavyozidi kuwa magumu,pia miudombinu inaharibika na kujikuta wengi wakikosa mahitaji muhimu ya kijamii.

huko mpunguzi moja kati ya kata zenye shida ya miundombinu hasa ya barabara {daraja}kumetokea hasara kwa mara ya pili mwezi huu baada y akubomoka kwa nyumba zaidi ya 100 tarehe moja kutokana na mvua, leo tena mvua ya jana usiku imesababisha kufika huko na kujionea jinsi nyumba zaidi ya 10 nyingine zikiwa chini na kuwaacha wananchi kuwa katika sintofahamu nyingine huku lawama zikisalia kwa viongozi wao kuanzia wa manispaa hadi kitaifa.

fuatilia kwa picha hapa matukio yalivyokuwa.

IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG
 

askari akisaidiana na wananchi kuhamisha mawe makubwa yaliyowekwa katika eneo la sabasaba mpunguzi na watu wenye hasira na viongozi kutokana na kushindwa kuzuia mafuriko hayo yasijirudie tena.





wananchi wakihamisha vyombo katika nyumba ambazo zilijaa maji ya mafuriko









hayo ndio mazingira ya wakaazi wa mpunguzi yalivyo kwa sasa baada ya mvua ya jana usiku

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG