BANDA MEDIA BLOG

PICHA 5 MANYIKA JR ALIVYOSHUHUDIA GAME YA YANGA VS RANGERS AKIWA NA MTOTO MZURI

Manyika Jr akiwa na mpenzi wake uwanja wa taifa akishuhudia game kati ya Yanga dhidi ya Friends Rangers
Manyika Jr akiwa na mpenzi wake uwanja wa taifa akishuhudia game kati ya Yanga dhidi ya Friends Rangers
Golikipa wa Simba SC Peter Manyika jana alikuwa kivutio uwanjani akiwa na mpenzi wake wakati wakishuhudia mchezo wa Azam Sports Federation Cup kati ya Yanga dhidi ya Friends Rangers kwenye uwanja wa taifa mchezo uliomalizika kwa Yanga kusonga mbele kwa mabao 3-0.
Hizi hapa ni picha ambacho zilinaswa na camera ya shafihdauda.co.tz ‘Timu ya Ushindi’ iliyokuwepo uwanja wa taifa kunasa matukio kadhaa.
Manyika 1
Manyika 2

Manyika 3
Manyika 6

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG