BANDA MEDIA BLOG

WAKAZI WA KIJIJI CHA MAPINDUZI KATA YA NGHONG'ONHA MANISPAA YA DODOMA WANACHANGIA MAJI YA KUNYWA YA KISIMA NA WANYAMA

Mfugaji wa Kijiji cha Mpunguzi A, Akichota maji kwa ajili ya kunywesha Mifugo yake, Maji ya Kisima hicho huchangiwa kati ya wanyama hao na Binadamu wanaoishi kijijini hapo
Mfugaji wa kijiji cha Mapinduzi A, akinywesha Ng'ombe waka maji ya Kisimbayo ambayo yanatumika kwa matumizi ya wakazi kijiji hicho kwa kunywa na kupikia. IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG

Mfugaji wa Kijiji cha Mpunguzi A, Akichota maji kwa ajili ya kunywesha Mifugo yake, Maji ya Kisima hicho huchangiwa kati ya wanyama hao na Binadamu wanaoishi kijijini hapo
Mkazi wa Kijiji cha Mapinduzi A. akichota maji ya matumizi ya nyumbani pamoja na kunywa katika kisima kilichopo pembezoni mwa Korongo


Mwenyekiti wa Kijiji Cha Mpunguzi 'A' Kata ya Nghong'onha Willy Joseph akionyesha moja ya kisima kinachotumika Kuchota maji ya Kunywa Pamoja na matumizi Mengine ya Nyumbani, huku wakichangia Maji hayo pamoja na wanyama
Wakazi hao wakipita pembeni mwa kisima kilichofukiwa na mchanga wa korongo ambacho hufukuliwa wakati wa kiangazi kwa ajili ya kuchoto maji ya kutumiwa na wakazi wa kijiji hicho 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG