BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI KITWANGA AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI, AWATAKA WAPANGE MIKAKATI MIPYA YA KUPAMBANA NA WAHALIFU NCHINI


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akiyajibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari ambao walitaka kupata ufafanuzi zaidi kutokana na hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam. Katika hotuba yake, Waziri Kitwanga aliwataka Maafisa hao kufanya kazi kwa kasi inayoandana na Serikali ya Awamu ya Tano, na pia wapange mikakati mipya ya kupambana na uhalifu nchini. Kulia kwa Waziri ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG