BANDA MEDIA BLOG

BMT KUANZISHA SEMINA YA WADHAMINI.


17Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la MichezoTaifa (BMT) Bw. Mohamed Kiganja akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani akielezea Semina ya masoko na wadhamini wa Michezo Nchini katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar es salaam kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Pro- Event Masters Ltd Bw. Henry Tandau.

18Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Pro- Event Masters Ltd Bw. Henry Tandau akiongea na waandishi wahabari hawapo pichani akielezea Semina ya masoko na wadhamini wa Michezo Nchini katika mkutano uliofanyika leo jijini  Dar es salaam kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la MichezoTaifa (BMT) Bw. Mohamed Kiganja.
PICHA ZOTE NA ALLY DAUD-MAELEZO

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG